Msanii David Mathenge almaarufu Nameless amesema sababu yake ya kutopatana mtoto mwingine ni kwa sababu anatafuta mbinu ya jinsi ya kumpata mtoto mvulana.

Alisema haya baada ya mmoja wa shabiki wake kumuuliza kama wakati wa kumpata mtoto mwingine umewadia.

"Hufukiri ni wakati wa kumpata mtoto mvulana sasa, hiyo nishati na vibe mtu anaweza kuwashtuka 🙊🙊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣." Aliuliza shabiki huyo.

Msanii Nameless hakulaza damu alimjibu na kumwambia,

"Uko na uhakika atakuwa mvulana???bado natafuta fomula ya kumpata mvulana bana." Alijibu Nameless.

https://www.instagram.com/p/CFEU66qgtS0/?utm_source=ig_embed

Wikendi iliyopita Nameless aliposti video wakicheza na mkewe Wahu huku ikiibua hisia tofauti,wawili hao wamekuwa katika ndoa kwa muda wa miaka kumi na mitano.

View Comments