Kuna  watu ambao mapenzi yao yalikatika kwa sababu ya kuwa mbali na kila mmoja .kuna sababu nyingi za watu wanaopendana kujipata kuwa mbali na wapenzi wao ikiwemo kwa shughuli za kazi au masomo .

 Katika wasiojua jinsi ya kuendesha mahusiano au ndoa wakiwa mbali na wenzao kuna mengi ambaoyo huzuka na baadaye kuvuruga uhusiano wao .Katika Podi hii tunajadili jinsi mapenzi ya mbali yanavyofaa kuendeshwa