Vita za maneno zimekuwa zikishuhudiwa kwenye mitandao ya kijamii kati ya mwanasosholaiti na baadhi ya watu mashuhuri hii ni baada ya Shakilla kudai kuwa ameweza kufanya ngono nao.

Mnamo jumatano msanii Willy Paul aliandika ujumbe huku akimuonya mwanasoshalaiti huyo dhidi ya kunyamaza kwake bila kusema chochote.

"Ndio ni mwanarika lakini kilicho chini ni cha miaka 97, sawa na cha ndovu,usikosee kunyamaza kwangu kama unyonge wangu." Willy Aliandika.

Huku akijibu ujumbe wake Shakilla alimwambia Willy asidhubutu kusema kuwa hakumkuna, huu hapa ujumbe wake aliouandika kwenye mitandao ya kijamii ya instagram;

"Mpendwa bwana mkunaji husinidai kabla sijakudai hukunigwara naweza book kufurushi cha safari kwa ajili yako mpaka maasai mara ili kuenda kuangalia ndovu ambayo unasema." Shakilla asema.

https://www.instagram.com/p/CFxYEqKBQUN/

Mchezo huu wa paka na panya utazidi mpaka lini na nani anasema ukweli? kama Shakilla anatafuta kiki nini kilicho mfutia kama kijana kutaka kiki hizo?

View Comments