larry

Mtangazaji wa runinga ya BBC Larry Madowo kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter huku akianza utangazaji wake wa kwanza kwenye runinga hiyo aliandika ujumbe na kueleza jinsi alikua hawakuwa na runinga na ni jambo la muhimu na la kushangaza sana kuwa anasoma habari kwa runinga ambayo inatazamwa dunia nzima.

Kupitia ujumbe uo huo aliwashauri mashabiki wake wasiwahi sema ya kwamba ndoto haitawahi kuwa ya ukweli.

"Hatukuwa na televisheni nilipokuwa nakua, ni jambo la kushangaza kutangaza habari @BBCWorld runinga ambayo hutazamwa kila kona dunia hii kutoka DC

Usiseme ndoto haziji ukweli." Madowo Aliandika.

https://twitter.com/LarryMadowo/status/1313031420294635520

Baada ya ujumbe wake mashabiki na marafiki walimtumia jumbe za kumpongeza na hizi hapa baadhi ya jumbe hizo;

Waihiga Mwaura: Keep going brother.Clear the path.Kenya to the world.

 Lady Mariéme Jamme: I am proud of you.You remained humbled, listened to advice and are grateful to the people who paved the way. I hope young people watching will learn from your journey. It was not easy
Eric Otieno: It's even more amazing to watch the whole orchestra at it!!
Wangari:Where I come from the word 'temporarily' sounds as good as you said it in the head. Things change the moment we open our mouth. Good stuff Larry. You're doing great!