In Summary
  • Walimu wajitenga na madai ya katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion ya mgomo wa Januari mwaka ujao
  • Walimu hao walimwambia katibu huyo alipoteza vita kitabo na kwa jumla walimu wote nchini walipoteza mawasiliano naye
Katibu Mkuu wa Muungano wa KNUT Wilson Sossion

Katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion amejitokeza waziwazi na kusema kwamba walimu watagoma Januari iwapo TSC haitatimiza matakwa yao.

"Inaonekana lugha tu ambayo TSC inaelewa ni mgomo, tumejari bu kila tuwezalo lakini msukumo kutoka kwa wanachama ni mwingi sana mgomo wetu utakuwa mama kwa wote," Sossion Alisema.

Baada ya madai yake walimu kwenye mitandao ya kijamii walijitenga na madai hayo huku wakimwambia kwamba alipoteza majukumu yake kitambo sana.

 

" Mpendwa kikao cha @KNUTKenya ulipoteza vita kitambo @TSC_KE ilikuzidi ujanja, ulianguka kusoma dalili kitambo kuitisha mgomo hakutafanya kazi

Almashauri ya mkoa wa NEC BEC za KNUT na walimu wote walipoteza mawasiliano na wewe, sahau mgomo wa walimu nchini." Ilisema.

Pia chama hicho kilimwambia Sossion kwamba walimu hawajakosa chochote hasa wakati huu nchi inapitia hali ngumu.

View Comments