In Summary
  • Gharama ya kuteua wabunge,180,ndio sababu pekee unahitaji kupiga kura ya hapana moses Kuria asema
1889561

Mbunge wa Gatundu Moses Kuria kwa mara nyngine amezumgumzia uteuzi wa wabunge 180 huku akizungumzia hayo Kiria alisema hiyo ndio sababu pekee ya kupigia BBI kura ya hapana.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook,mwanasiasa huyo alisema haijalishi kama kura ya hapana itaishindwa au itashinda.

"Gharama ya kuteua wabunge 180, katika bunge kutakuwa na wabunge 640 hiyo ndio sababu pekee ya kupiga kura ya hapana 

 

Na haijalishi kama kura ya hapana itashindwa au itashinda, lakini utaishi katika dhamiri safi utaishi kichwa chako kikiwa juu kwa maana utakuwa upande unaofaa wa historia." Kuria Alisema.

Kuria amekuwa mwandani wa karibu wa naibu rais William ruto.

Wiki chache zilizopita Moses Kuria aliapa kuongoza kampeni ya kura ya hapana ya ripoti ya BBI.

View Comments