In Summary
  • Gavana wa Wajir Mohammed Abdi alikuwa Jumanne jioni, Aprili 27, atimuliwa na bunge la kaunti

Gavana wa Wajir Mohammed Abdi alikuwa Jumanne jioni, Aprili 27, atimuliwa na bunge la kaunti.

Wawakilishi wadi 36 kati ya 46 walipiga kura ya kutimuliwa kwa Gavana, kufikia theluthi mbili ya idadi kama inavyotakiwa na katiba.

Mapema Jumanne, wawakilishi walipiga kura ya kuongeza kikao ili kujadili hoja ya mashtaka. Gavana alikuwa ameshtumiwa kwa unyanyasaji wa ofisi na utovu wa nidhamu.

Mengi yafuata;

 

 

 

 

 

View Comments