In Summary
  • Mbunge wa zamani wa Imenti ya kati Gideon Mwiti aaga dunia
  • Alihudumu kama mbunge kutoka 2013 hadi 2017
Gideon Mwiti
Image: Maktaba

Aliyekuwa mbunge wa Imenti ya kati Mwiti amefariki dunia alipokuwa akiendelea kupokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi.

Alistaafu kutoka siasa za kazi mnamo 2017 na kujitosa katika ulimwengu wa ushirika.

Alihudumu kama mbunge kutoka 2013 hadi 2017.

Mnamo mwaka 2015, Mwiti alikabiliwa na madai ya kubaka mwanamke jijini Nairobi.Mwiti alikuwa akiugua ugonjwa wa kisukari.

Mengi yafuata;

View Comments