logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Afueni kwa Kawira Mwangaza mahakama ikipiga breki kutimuliwa kwake ofisini

Maseneta walipiga kura usiku wa Jumanne kumbandua Mwangaza ofisini.

image
na Davis Ojiambo

Habari21 August 2024 - 09:40

Muhtasari


  • • Ni ushindi kwa Gavana wa Meru aliyetimuliwa Kawira Mwangaza baada ya Mahakama Kuu kusitisha uamuzi wa Seneti wa kumtimua ofisini.
KAWIRA MWANGAZA.

Ni ushindi kwa Gavana wa Meru aliyetimuliwa Kawira Mwangaza baada ya Mahakama Kuu kusitisha uamuzi wa Seneti wa kumtimua ofisini.

Jaji Bahati Mwamuye wakati uo huo alimzuia spika wa bunge la Seneti Amason Kingi kuchapisha notisi kwenye Gazeti la Kenya la tangazo la nafasi wazi katika afisi ya Gavana wa Kaunti ya Meru...

Taarifa zaidi zinafuata...


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved