Naibu rais alitoa madai kuwa utovu wa usalama na mauaji yanayoshuhudiwa katika maeneo ya Kerio Valley yamechochewa kisiasa ili kuadhibu wafuasi wake.
Akizungumza Jumanne usiku katika mdahalo wa urais naibu rais pia alidai kuwa serikali ya Uhuru Kenyatta imesababisha kudidimia kwa sekta ya kilimo kutokana na kuongezeka kwa pembejeo.