In Summary

• Babu owino alimtaka Ruto kutochukua siasa katika eneo hilo huku akisema kuwa msimu wa siasa umekamilika.

• Alimtaka kuzindua miradi mbali mbali ya kuwafaidi waana Nyanza katika kile alisema kuwa huwa ni watiifu katika kulipa ushuru.

Matakwa ya Owino kwa Ruto
View Comments