logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu wachezaji wa EPL walioadhibiwa vikali kwa makosa ya kamari (betting)

Trippier, Townsend ni miongoni mwa wachezaji wengine wa Ligi Kuu ambao waliwahi kupatikana na makosa kama hayo na kuadhibiwa vikali.

image
na Radio Jambo

Habari25 May 2023 - 06:54

Muhtasari


•Ivan Toney wa Brentford alipigwa marufuku ya miezi 8 na kupigwa faini ya Ksh8.5m baada ya kupatikana na makosa  232 yanayohusiana na kamari.

Hivi majuzi, mchezaji wa Brentford Ivan Toney alipigwa marufuku ya miezi minane na kupigwa faini ya milioni 8.5 baada ya kupatikana na makosa  232 yanayohusiana na kamari.

Ivan Toney sio mchezaji wa kwanza kuadhibiwa kwa makosa ya kamari; Sturridge, Trippier, Townsend ni miongoni mwa wachezaji wengine wa Ligi Kuu ambao waliwahi kupatikana na makosa kama hayo na kuadhibiwa vikali.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved