In Summary

• Bei ya Mafuta ya petroli, dizeli na mafuta kupanda kutokana na  kuongeza VAT  kutoka 8% hadi 16%.

• Gharama ya chakula kupanda kutokana na nyongeza ya bei ya mafuta.

• Utalipia zaidi umeme huku biashara ndogo zikitozwa kodi ya 3%.

Image: HILLARY BET
View Comments