In Summary

• Kwa mara nyingine taifa la Kenya halina mwakilishi hata mmoja katika awamu ya 16 ya tuzo za Headies.

• Tuzo za Headies hufanyika kila mwaka nchini Nigeria na wasanii kutoka mataifa mengi ndani na nje ya Afrika huteuliwa kuwania.

wasanii wa Afrika Mashariki walioteuliwa kuwania tuzo za Headies nchini Nigeria
Image: HILLARY BETT
View Comments