In Summary

• Manchester United na Borussia Dortmund watakuwa na manahodha wapya baada ya manahodha wa awalia kuvuliwa au kujivua unahodha.

• Maguire alipokonywa kitambaa cha unahodha huku Marco Reus akijivua cheo hicho.

GRAFIKI Vilavu vya ulaya na manahodha wapya
Image: ROSA MUMANYI
View Comments