In Summary

•Hafla hiyo iliwaleta pamoja wanafamilia, marafiki, wanasiasa maarufu pamoja na watu wengine mashuhuri nchini.

Watu tajika waliohudhuria birthday ya Ida Odinga
Image: WILLIAM WANYOIKE

Mke wa kiongozi wa ODM Raila Odinga, Ida Odinga aliadhimisha siku yake ya kuzaliwa ya 73 siku ya Alhamisi, Agosti 24.

Wanandoa hao waliandaa karamu ya kukata na shoka katika Hoteli ya Kempinski Villa Rosa, jijini Nairobi ambapo pia walisherehekea kumbukukumbu ya miaka 50 ya ndoa yao.

Hafla hiyo iliwaleta pamoja wanafamilia, marafiki, wanasiasa maarufu pamoja na watu wengine mashuhuri nchini.

View Comments