In Summary

•Mshambulizi Erling Haaland anayechezea klabu ya Manchester City alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa PFA.

•Bukayo Saka wa Arsenal alishinda tuzo la Mchezaji Chipukizi Bora wa Mwaka wa PFA baada ya kufunga mabao 14 na kutoa asisti 11 katika msimu uliopita

Washindi wa tuzo za PFA msimu wa 2022/23
Image: HILLARY BETT
View Comments