In Summary

•Isaac Mwaura alilelewa na mama pekee katika mtaa wa Githurai baada ya baba yake kumkana kutokana na hali yake.

Fahamu Isaac Mwaura ni nani
Image: HILLARY BETT
Fahamu Isaac Mwaura ni nani
Image: HILLARY BETT

Siku ya Alhamisi, Rais William Ruto alimteua aliyekuwa seneta wa kuteuliwa Isaac Mwaura kuwa msemaji wa serikali.

Mwaura atasaidiwa na Mwanaisha Chidzunga na Gabriel Muthuma. Sasa atachukua nafasi kutoka kwa msemaji wa zamani wa serikali Cyrus Oguna.

Hapo awali Mwaura alihudumu kama mbunge na seneta wa kuteuliwa kabla ya kukosa tiketi ya UDA kuwania ubunge wa Ruiru mwaka jana.

View Comments