In Summary

•Rais wa FIFA, Gianni Infantino na kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger walikuwepo mnamo siku ya ufunguzi.

Unachohitaji kujua kuhusu Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Image: WILLIAM WANYOIKE
Unachohitaji kujua kuhusu Ligi ya Soka ya Afrika (AFL)
Image: WILLIAM WANYOIKE
  • Ilitangazwa na rais wa FIFA, Gianni Infantino mwaka wa 2019.
  • Ilizinduliwa mara ya kwanza na CAF mnamo Agosti 10, 2022.
  • Ilianza rasmi Oktoba 20, 2023 jijini Dar es Salaam, Tanzania.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino na kocha wa zamani, Arsene Wenger walikuwepo siku ya ufunguzi.
  • Ilipangwa kujumuisha vilabu 24, CAF ikapunguza hadi 8 kwa msimu wa kwanza.
  • Timu zilichaguliwa kutoka kwa ligi 8 bora barani Afrika.
  • Timu zote zinazoshiriki zina uhakika wa kutunzwa Ksh 150m
  • Timu zitakazotinga nusu fainali zitazawadiwa Ksh 255.1m
  • Timu itakayoibuka ya pili itaondoka na Ksh 450.24m
  • Washindi watapata Ksh 600.32m
  • View Comments