logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu maafisa wa serikali ambao mkuu wa utumishi wa umma anataka wafutwe

Koskei ameagiza kusimamishwa kazi kwa wakurugenzi sita, mhasibu mmoja na maafisa 67 wa polisi kwa madai ya ufisadi.

image
na Samuel Maina

Habari17 November 2023 - 15:21

Muhtasari


  • •Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei ameagiza kusimamishwa kazi kwa wakurugenzi sita, mhasibu mmoja na maafisa 67 wa polisi kwa madai ya ufisadi.
ambao mkuu wa utumishi wa umma anataka wafutwe kazi.

Siku ya Alhamisi, mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei anataka maafisa 74 kusimamishwa kazi kwa tuhuma za ufisadi.

74 hao ni pamoja na:-

  • Fredrick Mwamati, Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Maendeleo ya Maji ya Tanathi.
  • Stephen Ogenga, Mkurugenzi Mkuu wa NITA.
  • Stanvas Ong’alo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Makumbusho ya Kitaifa ya Kenya.
  • Benjamin Kai Chilumo, Mkurugenzi Mtendaji wa Sekretarieti ya Huduma Center.
  • Peter Gitaa Koria, Mkurugenzi Mtendaji wa Bomas of Kenya.
  • Anthony Wamukota, Meneja Mkuu wa KETRACO.
  • Esther Wanjiru Chege, Mhasibu wa KeRRA.
  • Maafisa 67 wa polisi.

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved