In Summary

•Hazard ambaye anajulikana sana kwa wakati wake Chelsea na Real Madrid aliwashangaza wengi wakati alitangaza kustaafu mwezi Oktoba.

•Theo Walcott ambaye alichezea Arsenal, Everton na Southampton alitangaza kustaafu kwake wiki iliyopita baada ya kucheza kwa takriban miongo miwili. 

Wanasoka waliostaafu mwaka wa 2023
Image: ROSA MUMANYI
Wanasoka waliostaafu mwaka wa 2023
Image: ROSA MUMANYI

Kiungo wa kati Eden Hazard, kipa Gianluigi Buffon na kiungo David Silva ni miongoni mwa wanasoka tajika waliotangaza kustaafu mwaka wa 2023.

Hazard ambaye anajulikana sana kwa wakati wake Chelsea na Real Madrid aliwashangaza wengi wakati alitangaza kustaafu mwezi Oktoba akiwa na umri wa miaka 32.

Theo Walcott ambaye alichezea Arsenal, Everton na Southampton alitangaza kustaafu kwake mwezi Agosti baada ya kucheza kwa takriban miongo miwili.

Wastani wa umri wa kustaafu wa wanasoka wengi duniani ni takriban miaka 35.

View Comments