In Summary

•Mwanasosholaiti Poshy Queen ni mama wa mtoto mmoja na hapo awali aliwahi kuchumbiwa na Mnigeria, John mwaka 2020.

•Mpenzi mpya wa Harmonize ni mpenzi wa zamani wa aliyekuwa mcheza santuri wa mwimbaji huyo, DJ Seven.

Mfahamu mpenzi mpya wa Harmonize.
Image: WILLIAM WANYOIKE
View Comments