In Summary

• Jumanne usiku Alifika kwa binamuye eneo la Embulbul Ngong ambapo polisi walidokezewa kumhusu.    

•  Polisi walifika na kumpata akipiga gumzo na binamuye huku akiwa tayari amekula chakula cha jioni.

• Wakati wa kukamatwa kwake hakusumbua kuwekwa pingu na hata kulala chini vile aliagizwa.

Image: Hillary Bet
View Comments