In Summary

• Alhamisi wiki jana, NTSA ilitoa takwimu hizo huku waziri wa miundombinu Kipchumba Murkomen akizichambua kwa sasisho zaidi siku ya Jumapili.

• Murkomen alitoa takwimu hizo akiwa katika hafla ya Kanisa Jumapili katika kaunti ya Narok, na kulaumu ajali nyingi kwa matumizi mabaya ya barabara.

Takwimu za ajali za barabarani
Image: HILLARY BETT
View Comments