17 April 2024 1 Min Read
Jinsi gharama ya maisha imeshuka
. Shilingi za Kenya kwa dola ya Marekani, sh.162 Januari 2024 imeboreka hadi sh.130 mwezi wa Aprili 2024.
In Summary
• Bei ya unga wa mahaindi imepungua kutoka sh.220 Juni 2023 hadi sh.110 mwezi wa Aprili 2024.