23 April 2024
Mfahamu aliyevunja rekodi katika London marathon, Peres Jepchirchir
Alikimbia marathoni ya kwanza akiwa na miaka 20 kwenye Kisumu Safaricom Marathon 2013.
In Summary
- Alienda kushindana ulaya mara ya kwanza 2014 akiwa na miaka 21.
None