11 July 2024 1 Min Read
Mfahamu marehemu Jaji David Majanja
Jaji Majanja aliapishwa kuwa jaji mwaka 1998 na kufanya kazi katika mahakama Homabay, Migori, Kisumu, Kisii kabla ya kurudi Nairobi na kufanya kazi kwenye mahakama ya Milimani divisheni ya Kiraia.
In Summary
• Alipata shahada ya uzamili ya sheria, LLM kutoka chuo cha Pretoria Afrika Kusini mwaka 2005.