19 July 2024 1 Min Read
Mfahamu marehemu jaji Daniel Ogembo Ogola
Alikubaliwa kwenye orodha ya mawakili mwaka 1993 na kuwa wakili hadi 2003 na 2004 akajiunga na idara ya mahakama kama hakimu.
In Summary
• Alihukumu katika mahakama kuu za Eldoret, Milimani na Siaya.