13 August 2024 1 Min Read
Safari ya Eliud Kipchoge kwenye mbio za Marathon
Eliud alishiriki marathon ya kwanza 2013 na kushinda lakini alikuja kupoteza marathon yake ya kwanza 2020 baada ya kumaliza katika nafasi ya 8 kwenye London Marathon.
In Summary
• Kipchoge ameshinda London na Berlin Marathon kati ya 2015 na 2019.