In Summary

•Kila mwaka ifikapo Februari 14, ulimwengu mzima huadhimisha siku ya Wapendanao almaarufu Valentines.

Njia maalum za wapenzi kuadhimisha Valentine's
Image: ROSA MUMANYI

Kila mwaka ifikapo Februari 14, ulimwengu mzima huadhimisha siku ya Wapendanao almaarufu Valentines.

Siku ya Valentine's huwa maalum kwa watu kuwasherehekea watu wawapendao, iwe wapenzi, wazazi, ndugu, marafiki na watu wengine maalum katika maisha yao. 

Kuadhimisha siku hii, wapenzi husherehekea kwa njia maalum zikiwemo:- 

i) Zawadi ya maua.

ii) Kushiriki chakula pamoja.

iii) Kuenda ‘date’

iv) Kununulia zawadi.

v) Kujivinjari pamoja.

vi) Kutumiana jumbe tamu za mapenzi.

vii) Kuvishana pete ya uchumba.

viii) Kushiriki wakati mzuri pamoja.

View Comments