In Summary

•Watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi. 

Image: BBC

Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1,200

Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1,200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza.

Wakati huo huo Wizara ya Afya ya Palestina imesema watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi. Zaidi ya watu 4,100 wamejeruhiwa.

View Comments