In Summary
  • "Ninafuta dhamana yako. Utazuiliwa hadi tarehe 8 Machi," Hakimu Grace Nzioka alisema.

Mahakama imeghairi dhamana ya Jowie Irungu baada ya kutiwa hatiani.

Hakimu Grace Nzioka alisema kuwa mstakiwa kushikiliwa chini ya ulizi hadi Machi 8, 2024.

"Ninafuta dhamana yako. Utazuiliwa hadi tarehe 8 Machi," Hakimu Grace Nzioka alisema.

 

View Comments