In Summary
  • Kwa muda sasa karne moja hadi nyingine tumeona asilimia kubwa ya wanaume wakiwaoa 'single mothers'
Image: GETTY IMAGES

Kwa muda sasa karne moja hadi nyingine tumeona asilimia kubwa ya wanaume wakiwaoa 'single mothers'.

Ni mjadala ambao umekuwa ukijadiliwa kwa muda kwa nini wanaume wengi wamekuwa wakiwaoa 'single mothers' ilhali asilimia kubwa ya wanawake wanakataa kuwaoawa 'single fathers'.

Naam, nikiwa katika ziara yangu, nilikutana na kikundi ch wanawake ambao, asilimia kubwa walisema kwamba ahawawezi kuoa single fathers kwa sababu tofauti.

Tabitha alikuwa na haya ya kusema;

"Mimi siwezi kumuoa single father kwa sababu inamaanisha kwamba hajaachana na baby mama wake  na watakuwa wakionana kila wakati kwa ajili ya mtoto wao

Sio rahisi mwanamke kumuacha mtoto wake, kwanza chunguza sababu kuu ya mwanamke huyo kuacha mtoto wake," Aliongea Tabitha.

Pia Catherine alikuwa na maoni tofauti naye alikuwa na haya ya kusema;

"Kwa mua wanawake wenye watoto wamekuwa wakikubaliwa na wanaume na kuendela na maisha vyema, pia nasi ni wakati wetu tuweze kuwaonyesha wanaume kuwa pia tunawajali."

Kila jambo lina faida yake na changamoto zake, lakini kuna baadhi ya faida ambazo hatungeepuka mwanamke akiamua kuoa single father.

Wanatumia pesa zao zote kwa watoto wao, wanataka marafiki wao wa kike kuwa watunzaji wa watoto au mama mbadala na Daima Wape watoto wao kipaumbele.

Kuna baadhi tu ya sababu zenye ubishani na za uaminifu kikatili ambazo wanawake hao walinakili, lakini walitamatisha mkutano wao na kwamba, kumuoa single father ni vyema kwani atakuwa anafahamu ana majukumu zaidi.

Je uanweza kumuoa ''single father'?Toa maoni yako, kwenye sekta ya maoni.

 

 

 

View Comments