logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hakuwa ananitosheleza!Mwanamke aeleza jinsi alivyopata ujauzito wa ndugu wa mumewe

Kuna baadhi ya wenzi ambao hujipata kwenye dilema baada ya mke wake kuenda nje ya ndoa

image
na Radio Jambo

Makala23 November 2022 - 18:13

Muhtasari


  • Wanaume kweli umewahi fanyia wanao DNA ili kuhakikisha kuwa ni watoto wako na wala sio wa jirani au ndugu yako?

Je unaweza mwamini ndugu yako na mke wako, ili aweze kumlinda na kumsaidia kama huyuko karibu?

Wanaume kweli umewahi fanyia wanao DNA ili kuhakikisha kuwa ni watoto wako na wala sio wa jirani au ndugu yako?

Kuna baadhi ya wenzi ambao hujipata kwenye dilema baada ya mke wake kuenda nje ya ndoa na kisha kumsingizia kuwa ana ujauzito wake.

Mwanamke mmoj alizua gumzo mitandaoni baada ya kueleza jinsi alivyojipata na ujauzito wa ndugu wa mumewe.

Kulingana na mwanamke huyo mumewe hakuwa anasoma katiba vyema, hivvyo basi kuamua kuenda kwa ndugu yake amabaye alikuwa ana mtosheleza.

Ndio ni taboo kwa jamii zingine kufanya ngono na ndugu ya mume wako, lakini wengi wanaonekana kupuza utamaduni wa akina babu zetu.

Huu hapa usimulizi wake

"Ukweli ni kuwa nilikuwa namtaka mwanamume ambaye angenitosheleza lakini mume wangu Japhet hakuwea kazi iyo, nilipompa ndugu yake nafasi alijionyesha kuwa mwanamume kwa kinitosheleza

mume wangu alikuwa amejiunga na polisi, hivyo basi hakuwa na muda wangu, lakini ndugu yake alikuwa na muda nami, sasa nina ujauzito wake ilhali mume wangu anajua kwamba ujauzito huo ni wake, naskia nahukumika sijui nimwambie ukweli au la."

Je kulingana na maoni yako anapaswa kumwambia mumewe ukweli au anyamaze kama maji kwenye mtungi na maisha yaendelee?

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved