In Summary
  • Lilian afichua nini shukrani mbaya inaweza kufanya katika maisha ya mtu
Aliyekuwa mpenzi wa gavana Mutua Lilian Ng'ang'a
Image: MERCY MUMO

Shukrani ni tendo la kuleta shukrani kwa ajili ya mtu au jambo fulani. Lilian amekuwa hadharani kwa muda sasa, baada ya talaka yake mbaya na  Alfred Mutua kushuhudiwa mitandaoni.

Kwa muda sasa Lilian amekuwa akitumia ukurasa wake wa instagram kushiriki neno moja au nyingine kwa mashabiki na kuwatia moyo.

Akizungumzia kile ambacho shukrani inaweza kumfanyia mtu, Lilian alisema kwamba hutokea wakati watu wanashukuru kwa kile walicho nacho na kusahau kuwa wana haki na wajibu wa kufanya kazi kwa ajili ya kitu fulani bora.

"Upande ,weusi wa shukrani,inatendeka wakati tunshukuru sana kwa kile ambacho tuncho na kusahau kwamba tuna jukumu na haki ya kufanyia jambo liwe bora

Inakufanya ukae kwenye kazi ambayo sio nzuri, mahusiano yenye sumu au marafiki na ata kukubali unyanyasaji kutoka kwa wazazi kuwa na hekima," Aliandika Lilian.

 

 

 

View Comments