In Summary

•Kindiki,Duale ,Soipan Tuya ni miongoni mwa walioteuliwa tena.

Rais Ruto
Image: twitter

Rais William Ruto amewateua mawaziri 11 wa baraza la mawaziri kwa serikali yake huku wengine wa mawaziri wakiteuliwa tena.

Tazama Orodha ya mawaziri walioteuliwa tena;

Kithure Kindiki  - mambo ya ndani na utawala wa kitaifa

Aden Duale - Ulinzi

Alice Wahome - ardhi

Davis Chirchir -  barabara

Soipan Tuya -Mazingira

Rebecca Miano-Mwanasheria mkuu

View Comments