In Summary

•Naibu rais asema kutolewa kwa grupu la ikulu ya rais ya WhatsApp imemfanya kukosa mikutano na matukio ya kitaifa.

•Naibu Rais alikata rufaa kwa rais pamoja na watu husika,wakaweze kumregesha kwenye grupu hiyo ndiposa akaweze kufanya kazi yake kama naibu rais na atoe huduma kwa wananchi,akisema nafasi yake ndio ya pili baada ya rais.

NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA
Image: DPCS

Naibu rais Rigathi Gachagua avunja kimya na kudokeza jinsi amekuwa akikosa mikutano na mataukio ya maana ya kitaifa baada,inayohudhuriwa na viongozi wa ekulu pamoja na rais,baada ya kutolewa kwenye group ya WhatsApp ya ikulu.

Akihojiwa ijumaa 20, katika kituo kimoja cha televisheni,Gachagua alisema kuwa sie yeye pekee alitolewa kwenye group hiyo,bali pia timu yake ya kazi vile vile.Alisema jambo hilo l;imekuwa kikwazo kwake kwani hawezi jua kile ambacho rais anapanga wala maeneo atakayo zuru pamoja na shughli za ekulu.

"kwa kipindi cha wiki moja iliyopita,tulitolewa kwa group hiyo,na ataukuwa na njia nyengine ya kufuatilia kile ambacho rais na viongozi wa ikulu walipania kufanya.Mimi wakati najua mahali raisw anaenda huwa nafika,na kwa sasa sijui maeneo anayopania kufika kwaivyo ni jambo ambalo siwezi lishughlikia". Alisema Gachagua.

Aidha,Gachagua alisisitiza kwamba ni kupitia group hiyo,ambapo anaweza kupata taarifa zote mpya kutoka kwa viongozi wa rais ikulu,akisema walitolewa pamoja na katibu wa kibinafsi ndiposa wasije wakaona ratiba ya rais.

Aidha ,Naibu rais alisema kuwa ni ajmbo ambalo anahisi limeweza kupta msukumo mkubwa kutoka kwa upinzani na lengo kubwa ni la kuleta mjadala wa kumtoa serikalini.

Vile vile,Gachagua alisema kuwa kutolewa kwake kwenye grupu hiyo ni ili asije akahudhuria mikutano ya rais,jambo ambalo litampekea yeye kuitwa mwenye asyekuwa na heshima kwa rais na kuhepa kazi.

Naibu Rais alikata rufaa kwa rais pamoja na watu husika,wakaweze kumregesha kwenye grupu hiyo ndiposa akaweze kufanya kazi yake kama naibu rais na atoe huduma kwa wananchi,akisema nafasi yake ndio ya pili baada ya rais.

 

View Comments