In Summary
  •  Mahakama ilisema senate inafaa kuhusishwa katika uundaji wa sheria 
  •  Spika Justin Muturi amesema wanapinga uamuzi huo wa mahakama kuu 
  •  Maseneta wamekuwa wakilalamika kuhusu kutengwa na wabunge 

 

 Bunge limekata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu kufutilia mbali miswada 23 iliyopitishwa bila kuhusisha senate  ,spika wa Justin Muturi amesema

 Wiki jana mahakama kuu ilifutilia mbali miswada 23 iliyopitishwa na bunge bila mchango wa maseneta .

 Jopo la majaji  watatu  siku ya alhamisi  lilisema kwamba kwamba lazima maseneta wahusishwe katika uundaji wa sheria .

 Baadhi ya miswada hiyo  ni ule wa kompyuta na  uhalifu wa mtandao na  mswada wa kifedha wa mwaka wa 2018 .

 Baadhi ya sheria hizo zilizofutiliwa mbali ni;

  • The Public Trustee Amendment Act No 6 of 2018
  • The Building Surveyors Act of 2018
  • The Computer Misuse and Cybercrime Act 2018
  • The Statute law miscellaneous Amendment Act 2018
  • The Kenya Coast Guard service Act 2018
  • The Tax Laws Amendment Act 2018
  • The Statute Law Miscellaneous Act 2018
  • The Supplementary Appropriation Act No 2 2018
  • The Equalisation Fund Appropriation Act 2018
  • The Sacco Society Amendment Act no 16 of 2018
  • The Finance Act 10 of 2018,
  • The Appropriation Act No 7 2018
  • The Capital Markets Amendment Act No 15 2018
  • The NYS Act No 17 of 2018,
  • The Supplementary Appropriation Act No 13 2018
  • The Health Laws Amendment Act No 5 2019
  • The Sports Amendment Act No 7 of 2019,
  • The National Government Constituency Fund Act 2015
  • The National Cohesion and Integration Commission Amendment Act 2019
  • The Statute Law Miscellaneous Amendment Act 2019
  • The Supplementary Appropriation Act No 9 of 2019
  • The Appropriation Act 2019
  • The Insurance Amendment Act 2019

 

View Comments