In Summary
  •  Maseneta  wataanza kusikiza kesi ya  kufurushwa kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko  siku ya jumatano .
  •  Kikao hicho  kitafanyika  katika majengo ya bunge  kuanzia saa tatu asubuhi .
Gavana wa Nairobi Mike Sonko Gavana wa Nairobi Mike Sonko. Picha: MAKTABA

 Maseneta  wataanza kusikiza kesi ya  kufurushwa kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko  siku ya jumatano .

 Spika  wa senate  Ken Lusaka  ameyasema hayo  kupitia arifa ya gazeti  rasmi la serikali .

 Kikao hicho  kitafanyika  katika majengo ya bunge  kuanzia saa tatu asubuhi .

Sonko  alifurushwa na wakilishi wa kaunti  katika hali ya kutatanisha baada ya viongozi 88 kupiga kura ya kutokuwa na imani naye .

 

View Comments