In Summary
  • Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameaga dunia, kutokana na matatizo ya moyo, habari za kifo chake zilitangazwa na naibu wake Samia Suluhu

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameaga dunia, kutokana na matatizo ya moyo, habari za kifo chake zilitangazwa na naibu wake Samia Suluhu.

Kulingana na naibu wake Magufuli alilazwa hospitali moja mjini Dar Es salaam Machi 6  alipokuwa anapokea matibabu.

Pia Suluhu alisema kwamba nchi ya Tanzania itakuwa katika maombolezi kwa siku kumi na nne, huku bendera ziikipeperushwa nusu ili kumuomboleza rais huyo.

Haya yanajiri baada ya wiki mbili,huku wengi wakitaka kujua alipo mwendazake.

 

Kutoka kwetu wanajambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Mengi yafuta;

 

 

 

View Comments