Rais William Ruto atangaza baraza la mawaziri
Rigathi Gachagua – Atasaidia rais katika majukumu yote ya urais, na kuongoza kamati za baraza la mawaziri.
• Aden Duale amependekezwa kuwa waziri wa Ulinzi huku aliyekuwa Spika wa bunge Justin Muturi akipendekezwa kuwa Mwanasheria mkuu.
Rais William Ruto ametangaza baraza lake la mawaziri.
Akitangaza rais amempokeza majukumu mengi naibu rais Rigathi Gachagua ikiwemo kuongoza kamati za baraza la mawaziri.
Baraza la mawaziri ni kama ifuatavyo .
Rigathi Gachagua – Atasaidia rais katika majukumu yote ya urais, na kuongoza kamati za baraza la mawaziri.
Musalia Mudavadi – Waziri mkuu
Kindiki Kithure - Waziri wa masuala ya ndani
Njuguna Ndugu – Fedha
Aisha Jumwa – Waziri wa utumishi wa umma na jinsia
Aden Duale – Ulinzi
Alice Wahome – Waziri wa Maji
Alfred Mutua – Waziri wa mambo ya nje
Moses Kuria – Waziri wa Biashara na Viwanda
Rebecca Miano – Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki
Kipchumba Murkomen – Waziri wa barabara
Roselinda Soipan Tuya - Waziri wa Mazingira
Zachary Mwangi Njeru – Waziri wa Ardhi
Penina Malonza – Waziri wa Utalii
Mithika Linturi – Waziri wa Kilimo
Susan Nakhumicha Wafula – Waziri wa Afya
Eliud Ewalo – Waziri wa mawasiliano
Ezekiel Machogu – Waziri wa Elimu
Davis Chrchir – Waziri wa mafuta
Ababu Namwamba – Waziri wa Michezo na vijana
Simon Chelugui – Waziri wa ushirika
Salim Mvurya – Madini na uchumi wa majini
Florence Bore – Waziri wa Leba
Justin Muturi - Mwanashria Mkuu
Mercy Wanjau – Katibu wa baraza la mawaziri.