Hakimu Monica Kivuti amepigwa risasi katika majengo ya mhakama ya Makadara mjini Nairobi na afisa wa polisi.
Kulingana na ripoti za awali mshukiwa ambaye alikuwa ni afisa wa polisi alighadhabishwa na hatua ya hakimu Kivuti kufutilia mbali dhamana ya mkewe.
Afisa huyo pia alipigwa risasi na kuwaua na maafisa wenzake.
Hakimu alijeruhiwa vibaya wakati wa tukio hilo na amekimbizwa katika hospitali. Tukio hilo lilitokea ndani ya mahakama.
Tutakuletea maelezo zaidi...