Picha ya Ahmad

  Shirikisho la soka duniani Fifa limethibitisha kwamba  rais wa shirikisho la sofa barani afrika  Ahmad Ahmad  amezuiliwa na maamlaka za ufaransa ili kuhojiwa .

Taarifa kutoka fifa imesema   kuzuiliwa kwake ni kuhusiana na  madai  yanayohusiana na kazi yake katika caf .

Imeingeza kwamba  ‘ Fifa  haina maelezo kuhusu  uchunguzi huo  na hivyo basi haiwezi kutoa  msimamo  au matamshi yoyote kuhusu jambo fulani .

"Fifa  inataka maamlaka za ufaransa kutoa maelezo yanayoweza  kuwa muhimu kwa uchunguzi  unaofanyika ndani ya  kamati yake ya maadili .

 

View Comments