Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengaza hii leo kuwa shughuli za michezo katika taifa hilo zirejelewa Juni mosi mwaka huu 2020.

Ametangaza pia usafiri wa ndege katika taifa hilo kurejelea Mei 27 ili kuboresha sekta ya utalii.

Magufuli pia ametangaza siku tatu za maombi ya kitaifa kwa taifa.

Tayari kiongozi huyo alikuwa ametangaza kufunguliwa kwa vyuo na shule.

View Comments