In Summary

 

  •  Hali  ya usafi huwa duni na utajipata pabaya iwapo unapenda usafi 
  • Hakuna usiri na kila jirani yuataka kujiingiza katika mambo yako 

 

 

 Iwapo hujawai kuishi katika mitaa ya hapa jijini katika nyumba za mrundiko ambazo wengi huzitaa ploti ,basi umekosa uhondo na mengi ya kuchekesha .Katika Podi hii mwenzangu Mutala Mukosia unakupa tabasabu kuhusu mazuri ,machungu na yote unayofaa kujua kuhusu kuishi katika Ploti 

The video could not be loaded.

Katika Podi hii Mutala Mukoia anatupa kicheko kuhusu mazuri na mabaya ya kuishi katika ploti-Mkusanyiko wa nyumba zilizokaribiana katika mitaa ya Nairobi
View Comments