Author: Brian Ndungu

Bio:
My name is Brian Ndung'u, a sports fanatic. I am a Jack of all trades but a specialist of all! I juggle between writing, football and sampling the best Rock music.

Latests Posts By Brian Ndungu

sankok (1)

Mbona niombe msamaha kwa kumualika Akothee bungeni? – Sankok

Mbunge David Sankok amekiri kuwa hawezi omba msamaha kwa kumualika Kidosho bi Akothee, mwanadada mwenye miguu mirefu bungeni ili aweze kupatana na wabunge wenzake na kuomba ushirikiano wao katika mradi...
iandghost

Jamaa Migori akojolea kitanda baada ya kunyimwa tendo la ndoa

Kama wewe ni shabiki sugu wa kipindi cha Gidi na Ghost Asubuhi, basi unajua bayana kwamaba kila siku ya wiki kabla ya kitengo cha Patanisho, kuna kitengo cha Story za...
wanyama

Celtic huenda ikamsajili Victor Wanyama Januari

Klabu ya Celtic ya Uskochi inaweza kujaribu kumsajili kiungo wa klabu ya Tottenham na Kenya Victor Wanyama, 28, mwezi Januari, kwa mujibu wa kocha wa klabu hiyo Neil Lennon. Wanyama...
sili

Samaki mwenye hasira asaidia polisi kuwakamata wauza dawa za kulevya

Polisi nchini Australia wanaamini wamewakamata wanachama wa mtandao wa kimataifa wa wauza dawa za kulevya – kwa msaada wa mnyama mwenye hasira wa baharini aitwaye sili. Maafisa wa polisi awali...
moses akaranga

Aliyekuwa gavana wa Vihiga Moses Akaranga kuwania urais wa FKF

Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Vihiga, Moses Akaranga amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha urais wa shirikisho la soka nchini FKF kabla ya uchaguzi utakaofanyika mwaka ujao. Hatua hio imewakanganya wajumbe...
napoli

Champions League: Mabingwa Liverpool wakalifishwa na Napoli

Liverpool walipoteza 2-0 kwa Napoli katika nechi yao ya ufunguzi ya ligi ya mabingwa awamu ya makundi huku mabao mawili ya Dries Mertens na Fernando Llorente yakiwapa waItalia ushindi. Wakati...
sad

Nilinyang’anywa mke na Shamba boy – Reuben

Je waweza hisi vipi mke wako akinyakuliwa na jamaa mwingine? Isitoshe akinyakuliwa na mfanyikazi wako? Basi jamaa kwa jina Reuben aliwacha mtangazaji, Massawe Japanni na huzuni baada ya kusimulia jinsi...
rastafarian

Tutahakikisha somo la Rastafarian linafunzwa shuleni – Wambua

Jamaa aliyegonga vichwa vya habari alipolalamikia mwanawe wa kike kufukuzwa shuleni kwa ‘kosa’ la kuwa na nywele za dreadlocks, na kuwa kwa dini la ki Rastafari, bwana John Wambua amefunguka...
patanisho sp

PATANISHO: Mume wangu ni mtu wa fujo kila anapolewa

Bwana Fred ndiye aliyeomba kupatanishwa siku ya Jumanne akidai yeye na mkewe bi Nancy, walikosana mwezi Julai na amebaki mpweke kusononeka akidai kuwa anakaribia kujitia kitanzi. “Nilikuwa nimerudi nyumbani nikiwa...
Elijah Manangoi

Elijah Manang’oi hatotetea taji lake baada ya kupata jeraha

Elijah Manang’oi anasema hatotetea taji lake ubingwa wa dunia katika mbio za mita elfu 1,500. Manang’oi mwenye umri wa miaka 26 anasema jeraha la mguu alilolipata wakati wa mazoezi limemweka...