logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Teknolojia ya AI yatumika katika kamera ya simu ya hivi punde kuzinduliwa na Vivo

Simu hii mpya ya kisasa inatazamiwa kuvutia soko kwa muundo wake maridadi, utendakazi wa nguvu, na uwezo wa hali ya juu wa kamera.

image
na EKISA ZABLON

Biashara11 November 2024 - 08:40

Muhtasari


  • Kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari simu hiyo mpya V40 Lite itazinduliwa Nov 11, 2024. Simu hii mpya ya kisasa inatazamiwa kuvutia soko kwa muundo wake maridadi, utendakazi wa nguvu, na uwezo wa hali ya juu wa kamera.