logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maajabu?Vitu vya ajabu wanaume huvutiwa kwa wanawake

Utapata mwanamume amevutiwa na mwanamke kwa ajili ya udhaifu

image
na Radio Jambo

Burudani15 October 2020 - 14:10

Muhtasari


  • Mambo ya ajabu yanayowavutiwa wanaume kwa wanawake
Gorgeous African man with a flawless skin.

Kila mwanamume upendezwa na mwanamke ambaye anataka kuwa kipenzi chake kwa njia tofauti na matendo tofauti na kupatwa na mvuto kwa mambo tofauti.

Lakini kuna mambo na vitu vya ajabu ambavyo wanaume huvutiwa kwa wanawake na kushindwa haswa nini kilimvutia kwake.

Mambo hayo ni kama vile yafuatavyo;

1. Udhaifu wa mwanamke

Utapata mwanamume amevutiwa na mwanamke kwa ajili ya udhaifu wake na wale si ushupavu  wake ama bidii yake alionayo katika maisha yake.

2.Ukaidi

Kwa kweli wanawake wengi huwa na ukaidi fulani lakini kwa maana mwanamume ana mvuto kutoka kwa mwanamke huyo atampenda kwa ajili ya ukaidi wake na usumbufu wake ambao ameuona nao.

3.Kupaka make up

Wanaume wengi wanapenda kuwaangalia wanawake ambao wanajipaka urembo wao kia siku, lakini kwa wale hawajipaki watafanya nini?

4.Wanawake wanaovaa miwani

 

Si wanaume wote ambao watawapenda wanawake hao bali kunawale watakuwa na mvuto mkubwa katika wanawake hao.

5.Wasiojipaka Make up

Wanawake hao husema kuwa wao ni 'natural beauty' ilhali wengi hupata hawajui urembo ni nini na nikusema nini.

Bali kuna yule mwanamume atapatwa na mvuto na kumpenda mwanamke kama huyo.

Je ni jambo lipi ambalo linaweza kukufanya kama wewe mwanamume kuvutiwa na mwanamke.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved