Mpenzi wangu anapenda kunivuta nywele tunapofanya pekejeng

Muhtasari
  • Mwanamke mmoja aliwaacha wanamitandao na hisia tofauti baada ya kufichua mpenzi wake amekuwa akimvuta nywele wanapofanya pekejeng

Mwanamke mmoja kwenye mitandao ya kijamii aliwaacha wanamitandao wakiwa nahisia tofauti hii ni baada ya kufichua jinsi mpenzi wake amekuwa akifanya hasa wakati wanafanya penzi la ndoa.

Mwanamke huyo alisema kwamba hapendi tabia ya mpenzi wake ya kumvuta nywele.

"Mpenzi wangu anapenda wakati nina suka, anapenda kuivuta wakati tunafanya pekejeng hasa wakati tunatumia mtindo mpya

 

Amevuta nywele yangu na naogopa kuwa nitaanza kuwa na kipara hivi karibuni nitafanya nini ili awache hii tabia ya kunivuta nywele." Alielza Mwanamke huyo.

Baada ya wanamitandao kuona ujumbe wake walitoa hisia tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

eva_sexy_maggie:  You need to sit down with him and discuss about it😂😂😂😂😂before your hair will be like your grandma hair

wendsss:  My darling you know when he pulls it all off he’ll dump you better protect that hair!

chym__amaka:  This is very funny.. Just get wigged braids dear. By the time he pulls on it and it removes from your head nobody will tell him to be calming down 🤣🤣🤣😂😂

iam_estil : I feel she already knows he will dump her after he So do the right thing sis…save your crown

bella_la_bronze: Do ponytail

 

itisugochukwu:  Keep making sacrifices for a man that doesn’t give a shit about you. When you’re bald, he moves on to another girl with long braids 🙄🙄🙄