Mafisi poleni!Millicent Omanga aposti picha ya familia yake huku wanamitandao wakitoa hisia tofauti

Muhtasari
  • Uko sawa kuliko bibi wa MCA, Mashabiki wamwambia Millicent Omanga baada ya kuposti Picha yake na familia yake
omanga
omanga

SEneta Millicent Omanga kwa muda sasa amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya yake kuposti picha na hata video kwenye mitandao ya kijamii.

Mwanachama huyo ambaye ni wa chama cha Jubilee aliposti picha yake na mumewe na watoto jinsi walivyokuwa kitambo wanawe wakiwa wadogo na nyingine wanawe wakiwa wamekua.

Ni picha ambayo iliibua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii ya facebook huku wengi wakimpa kongole na wenine wakimkejeli.

 

Awali seneta huyo aliposti video akiwa na rafiki yake wakisakata kiuno kwenye sebule yake, huku baadhi ya wanamitandao wakimshauri anapaswa kupa nafasi yake ya bunge heshima.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya Millicent kuposti picha hiyo.

Migal Al Migel: Picha hii imebadilisha maisha yangu jirani yangu amenunua gari kwa ajili ya picha hii nami nitajega jumba kubwa kwa ajili ya picha hii

Nicoh Munyasya: I remember serving this boy in one of the KFC's ,,the boy was so rude to me, I never knew he was from a royal family!!wish am still there akom na kiherehere mabare na magotoo zitembee ,but thank God niliomokaga!!no situation is permanent!!

Eugine Isabwa: Hii familia inakaa ya miradi tu ,,,, hope you've recognized Those two people who can urinate on a vertical wall ,, it's their day

Ben Miregwa:This man should surely go to heaven he must be having a heart of stone.

Martinelli Ngondi: Finally we have seen baba mirandi. Those who had other plans should now forget. Woote waliotuma fare waende kortini.

Charlie Charles: Sitachoka kusema kuwa uko sawa kuliko Bibi ya MCA